BAADA YA UTAMBULISHO WA MANARA ,KIHAMIA AJIUZULU

 


Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Yanga  Dkt.Athuman Kihamia amejiuzulu nafasi hiyo jana jumanne Agosti 24,2021.

Hayo ameyasema kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema amechukua uamuzi huo wa kujiuzulu ili kupumzika na kupisha wengine kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

''Wajumbe wenzangu habarini za jioni,nichukue nafasi hii kuwajulisha kuwa nimejiuzulu nafasi yangu.'' Dkt.Kihamia

Jambo hili limetokea muda mfupi tu mara baada ya utambulisho wa Haji Manara.

Post a Comment

0 Comments