Lionel Messi, 34, anatarajia kufanyiwa vipimo vya matibabu leo hii Jumatatu 8/9/2021 kabla ya kukamilisha uhamisho wa bure kwenda Paris St-Germain.
Messi atazinduliwa kama mchezaji wa PSG kwenye hafla maalum katika Mnara wa Eiffel katika siku chache zijazo.(ESPN).
0 Comments