Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania Rose Muhando amesema tangu awe maarufu hajawahi kuwa na furaha na pia kuhusu watoto wake amesema watoto wake wote watatu wana baba zao.

'' Watoto wangu watatu wote wana baba zao ,toka niingie maisha ya umaarufu sijawahi kuwa na furaha '' Rose Muhando