Mchambuzi nguli wa soka nchini mwalimu Alex Kashasha amefariki Dunia Leo agosti 19/2021 katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es salaam.
Chanzo Cha kifo chake Bado hakijafahamika Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Shahidi Mdadisi blog.