Klabu ya Tottenham iko mbioni kukamilisha usajili wa   beki wa kulia wa Kibrazil Emerson Royal kutoka Barcelona.

Barcelona na Tottenham sasa wamefikia makubaliano ambapo Tottenham watatoa Euro milioni 30 na sasa uamuzi unategemea mchezaji mwenyewe.

Emerson alijiunga na Barca mwaka 2019 ma amecheza kwa mkopo katika klabu ya Real Betis kwa miaka mitatu.