Mbega/mbegha ni kima wa nusu familia ya Colobinae katika familia ya Cercopithecidae.
Asili yao Wanatokea Afrika na Asia.
Jamii nyingi huishi mitini lakini jamii nyingine huishi savana zenye miti na hata mijini.
Vidole gumba vya Mbega wenye asili za Afrika vimekuwa vigutu pengine ili kurahisisha kwenda katika miti.
0 Comments