Klabu ya Yanga leo Septemba 7, 2021 imemkaribisha rasmi Msemaji wao mpya Haji Manara, ndani ya makao makuu ya timu hiyo yaliyopo mitaa ya Jangwani.