Mchezaji wa Klabu ya Simba SC, Bernard Morrison (Bm3) amesema katika msimu huu 2021-2022 atatumia jina la mama yake kwenye jezi yake. 

Nimeamua kuvaa jezi yenye jina la mama yangu kwa kuwa naamini siku zote yuko nyuma yangu. Ni mwanamke muhimu katika maisha yangu,” Morrison.