Kamanda wa polisi mkoa Pwani ACP Wankyo Nyigesa amesema Madhumuni ya Operesheni hizi ni kuzuia, kudhibiti na kutanzua uhalifu wa Jinai na makosa ya usalama barabarani.
Operesheni hii imeleta mafanikio ambapo jumla ya watuhumiwa 38 wamekamatwa kwa makosa mbalimbali na mali za wananchi zimeokolewa ni pamoja na.
Bunduki 1 aina ya Short gun yenye namba GP 719 na Risasi 1
Bhangi kwenye begi 1 dogo, Puli 39, kete 661 na miche 24
Radio 2 aina ya Sony na sabufa 1
Spika 6, Kati ya hizo aina ya boss 02 na aina ya Sony 4
Pikipiki 1 aina ya Boxer yenye namba za usajili MC 226 CMT rangi nyeusi
Televisheni 5 aina ya Good vision 1, Sony 1, Samsung 1, LG 1 na TCL 1
Laptop 1 aina ya Dell
Desktop 1 aina ya Dell na CPU 2
Gari aina ya Canter 1
Matairi 02 ya gari
Camera 2 aina ya Samsung 1 na L
Camera Monitor 1
Mkasi wa kukatia chuma (flatbar ) na funguo (master) key
Pombe ya Moshi lita 65
0 Comments