Tukio hilo limethibishwa na mkuu wa Jeshi la polisi mkoani Kagera kamanda Awadhi Juma Haji Leo wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake ,ambapo amesema tukio hilo limetokea tarehe 11/10/2021 majira ya saa 08:45 mchana nyumbani kwake, na kuongeza kuwa chanzo Cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi.
Aidha, kamanda HAJI ametoa wito Kwa wananchi wa mkoa huo kuendelea kushirikiana na Jeshi la polisi katika kuripoti vitendo viovu.
0 Comments