BIASHARA UNITED VS AL AHLY TRIPOLI NI LEO

Leo klabu ya Biashara United itakuwa dimbani uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na Al Ahly Tripoli (Libya) mchezo wa Raundi ya kwanza kwenye mashindano ya kombe la shirikisho Afrika majira ya saa 9:00 alasiri.

Post a Comment

0 Comments