"Kama wanadhani kupiga faini ndo kutukomoa badala ya kujenga wanabomoa sisi tuko tayari kupigwa faini hatutovaa jezi yenye Logo ya mdhamini mpaka tutakapofikia makubaliano".

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli.