Kocha Etiene Ndayiragije rasmi amefungashiwa virago na  klabu ya Geita Gold Fc baada ya kushindwa kufikia malengo waliyokubaliana na klabu hiyo .

Ndayiragije amekuwa kocha wa kwanza msimu huu kuanza kusitishiwa mkataba wa kazi.