Moto mkubwa ambao chanzo chake Bado hakijafahamika umeteketeza mabweni matatu ya kituo cha kulea watoto Yatima cha Huruma Center kinachomilikiwa na kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya Iringa mkoani Iringa.