Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo Dodoma jiji Fc watakuwa wenyeji wa mabingwa watetezi Simba sc kunako dimba la Jamuhuri -Dodoma huku Biashara united wakiaalika Ruvu shooting kunako dimba la Karume pale Musoma -Mara.
Michezo yote hii itachezwa majira ya saa 10 jioni.
0 Comments