TWIGA STARS YATINGA FAINALI COSAFA

 

Timu ya taifa Tanzania ya mpira miguu wananwake #Twigastars imefanikiwa kutinga fainali ya #CosafaWomenChampion kwa ushindi wa mikwaju ya penati 3-2 . katika hatua ya matuta kipa  wa Twiga Stars alicheza penati zote mbili za Zambia .

Post a Comment

0 Comments