UVUMILIVU UNA MWISHO


Uvumilivu ukizidi hugeuka kuwa ujinga

Katika maisha ya mapenzi siku zote Usikubali kuvumilia sehemu ambayo akili  imeshakuambia Uondoke jua kuwa Uvumilivu una mwisho wake

Pindi dharau na usaliti vinapozidi Kuna muda unatakiwa kufanya maamuzi kwa kujiangalia wewe na sio kuwaangalia wengine,maana maumivu yatakuhusu wewe sio wao.

Wanaweza kushauri endelea kuvumilia ila unaeumia ni wewe sio wao hivyo lazima upime ushauri unaopewa kama una manufaa  kwako au la.

Post a Comment

0 Comments