HABARI PICHA :DK.WRIGHT ATEMBELEA SUKUMA MUSEUM

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk.Donald Wright ametembelea Kituo cha Utamaduni Bujora na Makumbusho ya Wasukuma iliyopo Kisesa Mwanza na kukutana na machifu watatu pia kujifunza historia, sanaa na utamaduni wa Wasukuma.




Post a Comment

0 Comments