KOCHA MPYA SIMBA HUYU HAPA

Klabu ya Simba SC rasmi imemtambulisha kocha wake mkuu raia wa nchini Hispania Pablo Franco Martin.

Pablo mwenye umri wa miaka 41 ,anachukua nafasi ya Didier Da Rosa aliyeamua kuachana na klabu hiyo wiki kadhaa zilizopita.



Post a Comment

0 Comments