MAELFU YA WANAJESHI WA URUSI WAUAWA


Jeshi la Ukraine limeeleza kuwa zaidi ya wanajeshi 3500 wa Urusi waliohusika katika uvamizi nchini humo wameuawa na kwamba mpaka sasa Urusi imeshapoteza ndege 14,helicopta 8 na mizinga 102 ambapo taarifa hiyo imechapishwa kwenye ukurasa wake wa Facebook 

Wakati huo huo Ufaransa imejitosa kuisaidia Ukraine silaha na vifaa ambapo Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameeleza kuwa amezungumza na Rais wa Ufaransa Emanuel Macron na amemuhakikishia hilo, huku video ya Rais wa Ukraine aliyoiweka kwenye mtandao wa Twitterr amesema 'Vita Vitadumu'.

Source : ITV

Post a Comment

0 Comments