''Waziri Doroth Gwajima anasema hadharani kwamba mme wake yani mdogo wetu alitest mitambo akakuta yuko fiti kweli kiongozi mwenye maadili anaweza kuongea maneno kama haya mbele za watu?

Ndio maana nasema huyu Doroth Ukoo wetu ulimkataa sababu hana maadili ni waluwalu''Bishop Gwajima

 ''Siku nyingine nitaelezea Doroth Gwajima alifikaje kwenye familia yetu na kuolewa na mdogo wangu,Nitaelezea kuhusu ndoa zake za awali ambazo zilivunjika na nitasema kwanini zilivunjika''Bishop Gwajima.

''Kiongozi wa serikali akianza kuchokonoa vitu vya kanisani ataharibikiwa kabla ya wakati serikali haiwezi kutupangia jinsi ya kuhubiri,huwezi kutukamata kwa kuwa tunahubiri pombe/sigara ni dhambi  kisa vinaingizia watu mapato,tumekataa kuchanjwa na hatutachanjwa , Waziri wa Afya Dr. Doroth Gwajima na Naibu wake kama wana akili nzuri wanapaswa kujiuzulu..Bishop Gwajima