Baba mzazi wa Askofu Gwajima (mzee Gwajima) amtaka Waziri Doroth Gwajima asitumie jina lake badala yake atafute jina lingine maana anamuharibia familia yake.