BAADA YA TOZO SASA ZAMU YA DISEL NA PETROL


 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei za mafuta kuongezeka kutokana na kubadilika kwa bei katika Soko la Dunia na gharama za uagizaji.
Mabadiliko ya bei hizo yanaanza kutumika kuanzia leo Jumatano Septemba Mosi, 2021

Post a Comment

0 Comments