KESI YA MBOWE KUSIKILIZWA TENA AGOSTI 27

 


Shauri la uhujumu uchumi nambari 63 linalomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu lililotakiwa kusikilizwa leo limeahirishwa tena mpaka tarehe 27 agosti 2021baada ya washtakiwa kushindwa kufika mahakamani hapo .

Kwa mujibu wa wakili Peter Kibatala amesema sababu za kiusafiri ndizo zilizopelekea washtakiwa hao kutokufika mahakamani.


                                                     KWA TAARIFA ZAIDI TAZAMA VIDEO HII




Post a Comment

0 Comments