MWANA 'FA' APATA AJALI


 Mbunge wa Muheza Hamis Mwinjuma (@mwanafa) amesema anamshukuru Mungu kwa kutoka salama  kwenye ajali aliyoipata Morogoro usiku huu.

"Namshukuru Mungu tumetoka salama mimi nina maumivu kidogo kifuani na kwenye mkono wa kushoto lakini napata huduma hapa kwenye hospitali ya Morogoro"

Mwanafa amepata ajali ya gari eneo la Mkambarani ,Morogoro usiku huu

Post a Comment

0 Comments