Aliyekuwa golikipa wa Yanga Farouk Shikalo amejiunga na klabu ya KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kuachana na Yanga SC.

Shikalo anakwenda kukutana na changamoto ya kuwepo kwa kipa mkongwe Juma Kaseja ambaye ameshajihakikishia nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha timu hiyo