INASEMEKANA mabosi wa yanga GSM wamechukizwa na kitendo cha muhamasishaji wao Antonio Nugaz kukusanya mashabiki na kumuita mteja wao mpya Haji Manara jina la MSUKULE.
Kitendo hicho kimemfanya Nugaz kuondolewa kwenye ratiba ya shughuli yote ya jana na ndio maana hakuonekana.
Kikao kizito kitskss ns kumjsdili ambacho kitamtaka aidha aombe radhi hadharani ama atimuliwe kwani kazi anayoifanya tayari Haji Manara keshaenda kuifanya.
0 Comments