Waziri wa zamani wa fedha na mipango nchini Tanzania, Mhe. Basil Pesambili Mramba (81) , amefariki dunia leo Agosti 17, katika Hospitali ya Regency, jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa matibabu

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amina.