MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni za Asas Group, Faraj Ahmed Abri amefariki dunia leo Agosti 13 akiwa mkoani Dar es Salaam
Mzee Abri ambaye ni baba mzazi wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Abri Asas anatarajia kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu baada ya Sala ya Ijumaa.
Innalilah waina ilahi rajiun
0 Comments