WAZIRI JAFO APATA PIGO


 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Said Jafo anasikitika kutangaza kifo cha mama yake HADIJA MWALIMU MADEGA kilichotokea Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es salaam . Msiba upo Kisarawe Mjini 

Innalilah waina ilahi rajiun

Post a Comment

0 Comments