CHUI AVAMIA ZAHANATI ,AJERUHI WANNE

 


WATU wanne wamejeruhiwa na Chui baada ya kuvamia zahanati ya Huruma mji wa Bomang’ombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
Chui huyo anadhaniwa kutoka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA).

Chui huyo aliuawawa na askari wa wanyamapori (TAWA) wilayani Hai.

Post a Comment

0 Comments