Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara baina ya Kagera sugar na Yanga umemalizika kwa timu ya Kagera sugar kukubali kichapo cha bao 1-0,bao lililowekwa nyavuni na Feisal Toto(Fei Toto) kunako dakika ya 24 ya mchezo huo kipindi cha kwanza.
Mchezo huo umechezwa kunako dimba la Kaitaba mkoani Kagera na kufanya yanga kuondoka na pointi tatu ugenini.
0 Comments