Ni rasmi sasa Ramadhan Kayoko mwamuzi wa kati ndiye atakayechezesha pambano la ngao ya jamii ambalo litawakutanisha watani wa jadi Simba naYanga siku ya Jumamosi septemba 25.