Mshambuliaji wa England Harry Kane huenda akatia saini mkataba mpya na Tottenham iwapo kifungu cha kumuachilia kuondoka katika kandarasi yake kitawekwa.

Source: BBC