Uongozi wa klabu ya yanga umekanusha uvumi uliopo kuhusiana na kocha wao Nasreddine Al Nabi kupewa mechi mbili za mtazamo na asiposhinda atafungashiwa virago.
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amesema taarifa hizo sio za kweli na kwamba kocha Nabi yupo na kikosi na anaendelea na mazoezi kuelekea mechi ijayo ya marudiano dhidi ya Rivers United ya huko Nigeria.
0 Comments