Ibrahim Ame  BEKI wa kati, amejiunga  na Mtibwa Sugar ya Morogoro kwa mkopo wa msimu mmoja kutoka Simba SC aliyojiunga nayo msimu uliopita akitokea  Coastal Union ya kule mkoani Tanga.