Mkurugenzi wa mashtaka (DPP) ameiondoa kesi namba 208/2016 ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Makamu mwenyekiti wa CHADEMA  Tundu Lissu na wenzake kwa kuwa hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.