Bodi ya ligi kuu Tanzania Bara imetoa taarifa ya Klabu iliyoongoza kwa kuingiza mashabiki wengi katika michezo yake ya nyumbani na pia kwenye kukusanya mapato mlangoni (Gate collection) kwenye ligi kuu kwa msimu wa mwaka 2020/2021.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa rasmi Klabu ya yanga ndiyo imeongoza katika msimu huo .
0 Comments