Liverpool imejitokeza kama mojawapo ya klabu ambazo zinamsaka mshambuliaji wa Poland na Bayern Munich Robert Lewandowski ,33, ambaye anatarajiwa kuondoka katika Bayern Munich msimu ujao.
Source:BBC