MAN U YASHINDWA KUTAMBA OLD TRAFFORD


Klabu ya Manchester United imepoteza mchezo wake dhidi ya Aston Villa ikiwa katika uwanja wake wa nyumba wa Old Trafford kwa bao 1-0.

Bao pekee la Aston villa limetiwa nyavuni na mchezaji Kortney Hause kunako dakika ya 88 ya mchezo huo.

Post a Comment

0 Comments