Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuwateua Maharage Chande, Omari Issa na Hassan Said Mtawalia .