Rasmi Sasa Yanga ndiye mshindi wa NGAO ya JAMII baada ya kuichapa Simba BAO 1-0 mchezo uliomalizika katika dimba la Mkapa jijini Dar es salaam.

BAO la Yanga limetiwa nyavuni na Fiston Mayele kunako dakika ya 12 ya mchezo huo.