Haji Manara ambaye ni Msemaji
wa klabu ya yanga ameweka wazi kwamba hajawahi kuwa simba
kama watu wengi wanavyodhani.
Manara amesema hajawahi kuwa simba akiwa mzima labda akiwa amelewa na kuongeza kuwa yupo tayari kwenda jela kutokana na uongo alioongea juu ya Yanga.
"Moja ya kazi kubwa niliyoifanya ni kuonyesha ukubwa feki hiyo ni dhambi niliitendea vibaya sana jamuhuri ya muungano wa tanzania na nipo tayari kuhukumiwa hata gerezani kwa kufanya ulaghai wa kufix ukubwa ambao haupo".

0 Comments