Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Fiston Abdulrazak amejiunga rasmi na klabu ya Olympique Khouribga inayoshiriki ligi kuu nchini Morocco.