Golikipa namba moja wa timu ya Taifa (Taifa Stars) na Simba Aishi Salum Manula ameingia kwenye orodha ya kumi bora ya makipa bora Afrika.