MASON MOUNT KULAMBA EURO 150,000 KWA WIKI

 


Klabu ya soka ya Chelsea inajiandaa kumpatia mkataba mpya kiungo wa England Mason Mount , hatua ambayo huenda ikamfanya mshahara wake kuongezeka hadi £150,000 kwa wiki kwa kila dakika 90 (90min) atakazocheza uwanjani. 

Post a Comment

0 Comments