Mwenyekiti wa bodi ya klabu ya Simba SC Mohamed Dewji amejiuzulu nafasi yake hiyo na kumteua Salim Abdallah ( Try Again) kushika nafasi hiyo.

Hatua hiyo imefikia baada ya makubaliano waliyoingia Tarehe 21/09/2021 .
HABARI KAMILI