Hassan Mwakinyo bondia wa Mtanzania amepanda daraja na kuwa nafasi ya 13 katika ubora wa mabondia duniani katika uzito wake wa Super welterweight.

Awali Mwakinyo alikuwa nafasi ya 24 kabla ya kumpiga Bondia Julius Indongo wa Namibia kwa TKO raundi ya nne kwenye pambano la raundi 12 lililochezwa septemba 3,2021 katika ukumbi wa Ubungo Plaza