Klabu ya Yanga imetoa ripoti yake ya mapato na matumizi ya msimu uliopita ambapo walipata mgao wa shilingi Milioni 45 wa mauzo ya jezi

Kwa mujibu wa ripoti hiyo Yanga wanapata shilingi 1300 kwa kila jezi inayouzwa ,hivyo shilingi milioni 45 ni sawa na takribani jezi 35,000.