Mwandishi wa habari wa Azam Media mkoa wa Kagera Nicolaus Ngaiza Amefariki Dunia usiku badaa ya kupata ajali Wilayani Muleba akitoka kutekeleza majukumu yake wilayani Biharamulo.
Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kagera Mbeki Mbeki amesema mwandishi huyo na wenzake walikuwa wakitoka katika mashindano ya kombe la mbunge kabla ya kupata ajali hiyo.
Bwana ametoa Bwana ,ametwaa Jina lake Lihimidiwe.
Amina
0 Comments